Breaking: China to send used fan camps to Kenya after World Cup is over.

Mchinku hata acheze game gani, bado hakuna military base anajenga Kenya :D:D:D:p. Ask @Gaza how mchinku was told to fuck off.

[MEDIA=twitter]1595795877439733761[/MEDIA]

I pass via cbd every morning… Kuna familia me huona wamelala kwa corridor na mtoto wa around 1yr old. Mtoto hua amevalishwa puff jacket juu ya baridi, na saa hizo wako sound asleep. Heartbreaking mazee.

If hizi nyumba zitakuja, wapatie deserving cases strictly.

Hizi ndio zile nyumba za affordable housing naniii alisema atawatengenezea.

Amefanya kazi buana!! :D:D:D

Endorsed.

Where will they be erected ? And as per me, every slum dweller in .ke deserves them ? On the flip side, nobody deserves to call that home.

self respect mmepeleka wapi wakenya?

That means they still had energy to bring a child into this cruel and cold world if the kid is that young.

ao watu hufanya nni Nairobi? Hawana ocha kwao? Kama mtu halipi ushuru hafai kuja Nairobi kuwa burden kwa serikali

They are better than mabati shacks.

Ni jambass kwenda ombaomba kila pahali

Bwana nipe pesa
Watoto wana njaa
Lakini mke wako
Anapenda kutangatanga
Hata majirani
Walichoka kumwona
Wawa husema fungeni milango anakuja

Zitaenda kutengeneza Airbnb kwa masoss

Hapa ni Kenya, definition ya deserving cases ni relatives and friends wa mdosi.

I pray it works… Juu ita kua kama dumping… They need to be placed place mbali kama turkana… Marsabit… Nanyuki… Moyale… Ama nyahururu laikipia…

Sisi kama omubonobo who don’t manufacture anything tumekubali ziletwe. However, we have conditions. When they get here, Qatar/China should take responsibility and connect them to the power grid, do the water reticulation, equip them with mini fridges, cookers and microwaves. Last but not least, a we demand that they be stocked with six months worth of foodstuff. Bila hio hatutaki

Na zikuwe za blue

:D:D:D:D

Zipelekwe Juja na Wangige area. They better not put those things in Nairobi.

i just trying to wrap my head around it, and 1001 question are popping out, maybe, the thing thing will be to modify them and have them as stalls for mama mboga and other related jigs in the kenyan markets, jua kali, mitumba and so on.

You know Kenya. Zitauziwa wasomali tu wazitumie kama stalls.

They are well built but once here, they will be run down as within no time.