Waaaa jana nimezienda mbaya na akina Blaze pale. Hata cjui vile nlifika mtaa. Nike amuka and 1st thing kama mlevi nikucheki kama phone iko…imelost ama screen ime crack? Check iko sawa. Nxt thing cheki wallet, hio uwa nightmare wazito.Waaaaaa :eek::eek:150euros imeinama waseh…nilikuwa na 200 kwa wallet sai naona tuu 50.
3rd thing, pigia akina Blaze niwaulize jana kuliendaje…dialling****
Blaze: hello
Me: niaje blaze…jana kuliendaje
Blaze:Buda Blunder mseh
Me: gani tena
Blaze:wale mapokoste pale kwa ile pub…si manze umeleta drama Jay
Me:waaaaa acha
Blaze:noma…ni story refu…do hivi si tupatane pale kwa ile pub ya wa-russia tutoe lock ya ka breakfast show nikusho vile kulienda
Sii maji moto kwa sufuria alafu wekelea spagehetti…ikishaiva chukua frying pan ekelea mayai and fry…b4 kuiva wekelea spaghetti juu and mix together…pilipili unaweza ongeza…thank me later