priss priss musiwai weka hekaya yangu ama thread yangu yoyote kwa FaceBook , there is a reason i post hekayas hapa na si facebook . the kind of language one uses can be easily known by family and friends and also familiar stories so priss postini za kina kush but yangu musiwai post facebook . hii shida mumeniletea wacha nijaribu kujitoa polepole .
Sio mods wamepeleka story yako FB Lichoti…ni mara ngapi hapa nimesema hii place iko infested with bloggers. They copy paste stories from here and post them in FB. Mimi nimepatana na hekaya zangu mob pale
Btw admin amezoea kushare hekaya za watu pare fb. Hekaya ya @Nostradumbass ilileta NVs 1000 kuja kushuhudia yeye ni nani huku. I read the comments in the reply section and could identify hao maNVs from comments zenye walikuja kumake hapa.