eh! nasi hawa madem wanagusa kugusa futaa!! eish! am sure harambee stars first 11 haijawahi unganisha game kama venye nimeona brazil women team wanaunganisha. kwanza dem anaitwa marta damn!!!
Awa madem wa mayolo wanajua ball sana. Lakini sweden ni meffi, wanacheza game ya Mourinho, kudefend mtu kumi, ivo ivo ndio walifanya wakachuja USA kwa quarters sasa wamefanya ivo tu wakachuja Brasil. UMEFFI
si ndo maana solo aliwaita “a bunch of cowards” but brazil pia walipoteza ball mob kwa za juu instead ya kuingia kwa box na kufanya mambo!
Apo inabidi ucheze ball za juu ndo uweze kupenetrate kwa box
Aa! I thought you were discussing their hotness
Same here
Bingwa makende ulifufuka lini?
their dazzling gameplay overshadowed everything else, sijawahi fikiria wanawake wanaeza panga game hivyo USA pia walinibamba ni venye yao ilikua the typical english style of play. lakini hii inawekwa carpet chini eish! for the first tym i was glued for a whole 90min maze! i had to remind myself eti hao ni wanawake. i cannot wait to watch the bronze game.
kesho ni akina neymar!! semis pia at the maracana someone suggested eti if they loose kesho to honduras, hio uwanja ibomolewe coz its jinxed. but wakienda thru germany iende thru pia, na si final itakuwa ka ya Wcup. brazilians demand nothing less of a win ikikuja ni futaa else u face the wrath. uliza neymar, guys started shouting marta whenever he touched the ball.