Walking around the streets of Nairobi,it is obvious Chinese made watches have hit the market hard.
Na juu mimi si billionaire,natambua Casio,na pia Edifice hazikosi fake kwa market, things are thick.
Casio Beside ndio yangu. Very reliable machine
http://cf3.s3.souqcdn.com/item/2016/07/18/47/74/29/2/item_XL_4774292_15369078.jpg
Its sad to see vile tumekuwa an importing nation, its even sad how easy it is to ship in these things
Wasee wamesota na wako image conscious are having a ball
[ATTACH=full]90453[/ATTACH]
watch ya mia mbili itaharibika within a day. achia watoto wa high school hizo upus
This watch lasted me through seco [ATTACH=full]90464[/ATTACH]
nina Curren and Naviforce… imported from UK cumulating to $560
4 button ndio ilikuwa baba yao, na ni $13 pale amazon, i think nitanunulia my cousin ako form 1[ATTACH=full]90467[/ATTACH]
I have a phone, what do I need a timepiece for?
I sell watches and I have to say I have never understood Kenyans fascination with this watch CURREN!It’s a really low quality watch!
what brands do you sell? 5k utaniuzia brand gani? nimechoka na watu kuniuliza bei ya hii Tissot yangu
Give me a good quote for a Rolex sea dweller nikuje next week.
Edifice Casio utapata na hiyo bei.
gani specific juu website yao kuna kadhaa na hamna bei
Endeni Timeshop mkule na macho
Angalau weka picha ama sketch…mimi na wengine ni potential clients
[ATTACH=full]90521[/ATTACH] [ATTACH=full]90522[/ATTACH] [ATTACH=full]90523[/ATTACH]
How much hiyo ya kwanza?
7000/-
Edit:
Ukitaka ya bei rahisi pia iko…around 3500 lakini no guarantee!
Hii nilipata na 5k but ni kitambo kidogo imeingiwa na uzee sasa.
[ATTACH=full]90532[/ATTACH]
wacha nitakuvutia