Hapa @Luther12 unaona Kama inaweza ile route ya kina @Fala 12 ,
Tea room~Mugamba ciura?
[ATTACH=full]108795[/ATTACH] [ATTACH=full]108796[/ATTACH] [ATTACH=full]108797[/ATTACH] [ATTACH=full]108798[/ATTACH] [ATTACH=full]108799[/ATTACH] [ATTACH=full]108800[/ATTACH]
Photos from mkz, naitafta coz Iko hapa tu mtaani
15 Likes
Damn!!!I would like to experience it…inakaa kali Sana. Najua fare ni expe sana
system
June 29, 2017, 4:01pm
5
Kitu iko swaffi kabisa,wouldnt mind to try it.
Hapa @Luther12 unaona Kama inaweza ile route ya kina @Fala 12 ,
Tea room~Mugamba ciura?
[ATTACH=full]108795[/ATTACH] [ATTACH=full]108796[/ATTACH] [ATTACH=full]108797[/ATTACH] [ATTACH=full]108798[/ATTACH] [ATTACH=full]108799[/ATTACH] [ATTACH=full]108800[/ATTACH]
Photos from mkz, naitafta coz Iko hapa tu mtaani
whaaaaat… i love this !!! jeso na loho
hii labda upelekee wale majamaa wa muguka nairovi-kathambaiconi
slevyn
June 29, 2017, 5:02pm
11
Looks like a good family car
benja
June 29, 2017, 5:43pm
13
watu four pekee hio kwa biz ya matatu ni noma pengine car hire ama Taxi…
Hii ni kama Economy class ya Dreamliner…
SGR kaa kando.
Ubongo
June 29, 2017, 6:39pm
15
Executive ,iko kali kabisaa
system
June 30, 2017, 8:04am
16
Hapa @Luther12 unaona Kama inaweza ile route ya kina @Fala 12 ,
Tea room~Mugamba ciura?
[ATTACH=full]108795[/ATTACH] [ATTACH=full]108796[/ATTACH] [ATTACH=full]108797[/ATTACH] [ATTACH=full]108798[/ATTACH] [ATTACH=full]108799[/ATTACH] [ATTACH=full]108800[/ATTACH]
Photos from mkz, naitafta coz Iko hapa tu mtaani
:D:D:D:DVery good for private hires. Kina @Fala 12 walizoea probox na sienta.
2 Likes
I hope the suspension offers something to match the perceived comfort.
2 Likes
Yeah… I hope so too. Suspension ya box off road ni punishment.
system
June 30, 2017, 9:40am
19
Kawaida ya leafsprings. Umejaribu landcruiser kama hizi za karao? But coupled to Monroe’s inakuwanga afadhali.
Yeah and for that I’d rather have the alphard or estima aeras