[MEDIA=twitter]1606597368308465666[/MEDIA]
Somebody’s day Will be badly be ruined. Hakuna yangu apo lakini naskia a a aaaa.
Insurance iko
Kuna mtu alikuwa ametegea gari ifike aanze kutesa, ole wake atangoja kiasi
Just bodywork damage. Can be fixed
Huyo kadere alikuwa Kwa simu, lazma.