SIdhani kuna damage kubwa, it can still limp to the nearest garage, just a little push
Hapa ni kuambia mdosi, imetoka kwa barabara lakini si mbaya sana.
You cant see the dead driver?
Sio witness huyo?
Kwani nini imefanyika?
Aite jama ya SUZUKI amtoe