Boring Saturday Afternoon

Niko hapa Gardens Pub Mwiki hanging my balls, nothing interesting on TV. Sitaki kulewa saaana juu kesho niko job.

Wee inakushikia wapi?

1 Like

Oh mundu khumundu. Napika, my supper today is miseveve na ugali! Kesho, naenda misa ya pili

1 Like

miseveve ni kitu gani hata google hajui?

2 Likes

Pumpkin leaves Nugu hii, naenda 1st Mass St. Peter’s Clevers before I head to the office.

3 Likes

go visit your colleague… she needs an upgrade…

kwa lugha gani jinga hii?

4 Likes

Hii stori yafaa uwache kunikumbusha kila wakati. Miss you.

1 Like

Niko hapa nyama villa nateremsha tusker pole pole nikingoja ile mwewe nimeitisha iive

2 Likes

Home na ka Jack Daniel humu humu… Alone

Nimebackslide kidogo after wiki ya matizi…niko bacardi mdogo…

1 Like

Nilikuwa nikienda huko St. Peter’s Clevers. For almost two years sijaingia kanisa.

1 Like

kwani huyu st peter alikuwa na wajuaji wangapi?

Hii system ya naming of institutions by Catholics huwa peculiar. Inakaa ana wajuaji wengi.

1 Like

kushikisha na friends I haven’t seen in a while

Mwewe utashimba ? Flamingo au maraboo stock unashare na wezako.wanunue ukali

Mundu nimekuja poshomill imefungwa banaaaaa . Njaa itaniuwa

Kasee niaye

4 Likes

Be blessed!

[ATTACH=full]42699[/ATTACH]
Room nshabook bado kuangushiwa sasa.

1 Like

Saint Peter Claver, S.J., was a Spanish Jesuit priest and missionary born in VerdĂş who, due to his life and work, became the patron saint of slaves, the Republic of Colombia and ministry to African Americans.Wikipedia

so that church in Nairobi is St Peter Claver’s Catholic Church…not St Peter’s Clever’s…