Borehole drilling -Help

Kwa talkers wenye wako na idea…ni how much hivi kuchimba borehole na pia other requirements @shocks saidia hapa kiasi

1.2

You need to get an approval and licence from neema.That’s all i know.Wengine waongeze.

Uwongo

Thanks

I’m not directly in this line but a while back niliona quotes,
Ya kwanza huwa mobilization, hii depends na how far your site is from base ya the driller, within Nairobi mostly huwa sare.
Then kuna the per metre rate, from 5k to around 8k, if water table iko chini sana you cough more.
Finally kuna casing na pump
@Fala 12, saidia huyu na the latest quotes

Nikama ngapi?

My friend mwenye anajenga pigsty joska aliniambia ni around 250k.

Hii ni zile za kuchimbwa na mkono ama?

Atleast this is useful info already,… thanks man

Si wakenya wengi watachimba ? Hio bei ni suspect

See attached. This is just a quotation. There are various factors that determine the prices.

Sikuuliza maswali mingi. Ni kama jamaa hakuwa anataka nijue full details about hio project yake.

Hii ni borehole kweli ama ni ile kisima ya kawaida, huko niliskia unaweka wanaume kwa boma miezi kama tatu bore chakula ikuwe…wanachiba mpaka maji ipatikane, but measurements ni kama ya pit latrine…

Ooh kumbe hivyo ndivyo kunaendanga

@senji kampuni yako hulipisha ngapi

Kweli kuna mabrokers wengi, between 300-400

Uko serious? Not less than 1.2 m

Fafanua kiasi…

True get on the ground, Davis and company are having a run for their money.
Davis is the one that charges 1.2 and above