Lakini zile ninja huwa zinakam kukaa seat moja na ndume ingine gari ikiwa bado iko na seats hufikiria aje?
:D:D mimi huweka buffer zone nasema kuna mtu
Kwa ile BMW X5, ama kwa Prado?
Hii thread imekupatia relapse ya reality?
Nunua gari yako uache mafeelings za kishenzi.
Welcome to the humble earth:D:D:D:D:D:D
Hii lapse ni noma!
ango leo umepatikana:D:D:D:D
Nunueni gari zenu PUGA
Na haikusalimii hata…
@Ungo , did you change your V6 to a matatu ??
:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Kumbe uwesmakende hakajakufa?
i dont reply to fools , poleni
unatamanika thats why:D:D:D:D:D
naswa
Haha reminds me Kuna siku nilikuwa nimekaa mat peke yangu. Nigga inaingia alafu inakaa next to me in a freaking EMPTY matatu. Wtf is wrong with you man?
Hao ndio tunangoja Malema atuambie what we should do with them
:D:D:D hapo naamka na kuenda seat mupya
Must have been a pick pocket
Seems you are notapeoplesguy