Bonobos Stupid Children

Hawa ndio wanaitwa mayuts!!!
They’re probably driving a car rental or a parent’s car.
Driver amelewa chakari na bado anachapa shot ya muratina!
Gari ni 5 seater lakini imejaa watu nane; 2 in the front and 6 in the back.
Wakifungua dirisha unaeza dhani gari inachomeka kutoka ndani juu ya moshi.

Recipe for disaster. A terrible accident waiting to happen.

Huyo dem ako backseat by the time amefika 25 years atakuwa single mother. If she will still be alive.

[MEDIA=instagram]CFPCQKnB05E[/MEDIA]

Mayuts:D:D:D

YOLO

It happens. Ni age.

Mbona ume-edit. Umesema you were doing the same stupid shit as a teenager and you’re lucky to be alive.

Leta hekaya.

Na vile muratina ni silent creeper! Unadhani uko sawa one minute, the next minute imekuweka sweep.

kila hekaya ina siku yake, wacha leo tukalie story tu. but hii ni standard operating procedure for that age. how people survive their stupid years might in fact be proof that there exists a god of some sort.

I hazily remember being in such a car on more than one occasion in my late teens, early 20s. It was a common thing and yes, I know quite a number that died young in very grisly ways.

local drink natambua ni white label ya Shibale pekee

In campo we used to do cars, bar hoping and hoes mungu tu ndio alitulinda

He still has a teenage brain…anataka kuuma mtoto wa shemeji yake.

Kama haukupita hii stage you didn’t enjoy your yout

kumbaff :D:D nipe mtoto wenu basi

Kwani lazima uhsribu mtoto? tafuta nyanya rika yako

kama hukufanya haya haujaishi… pereka feelings huko-------------------------------------------------------->>>>>>>>>> unless ni daughter anaenda kupigwa combi:D:D:D:D in which case pole…

Malisa yeye
[ATTACH=full]324810[/ATTACH]

Sonko has no jurisdiction to lecture anyone’s kid on morality… the daughter is also a lanye…

the big irony is that sonko is cautioning against drug abuse and peer influence

These Kids are over 18, wacha wajibambe. Enzi zetu pia tulikuwa tunajazana kwa gari hivi, tukikimbia tufike Carnivore before 9pm tusilipe entrance.

And you might surprised that girl will transform in unimaginable ways. Some of the girls tulikuwa tunatomba huko Carni Parking lot are now Happily Married with Kids, na mpaka are church choir members. Mkajua historia za bibi zenu mnaeza shangaa sana I tell you.

Kamati ya roho chafu thread. Mbona unawaombea wapate accident? Wacha watu wajibambe. Kama huna form, kula na macho.