Why would anyone drive with bald tyres in this weather?? Leo nimeona someone escape death by a whisker banae.
Hata logo ya Firestone ungeweka tu
Watu wamefunga mshipi na hii economy.
Uchumi mbaya…bora breaks indicators na horn na windscreen iko intact…kuna time nishawahi chapa lap na dinga haina dashboard…ni steering na ignition gear & pedals unaona engine ukienda pahali unaenda.
Hii ni kawaida kama Watu kama @sludgist na @PHARMACY wanazmsurvive on offcuts za farmers choice na cheap liquor
Ilikuwa gari gani
Bora ni pesa genuine si za wizi na kunyonga watu Kama wewe jambazi sugu kutoka uthiru
Ata brakes iko shida,in the last 3-4 weeks multiple lives have been lost due to brakes failure…Ile basi ya Pwani Uni na some Lorry in Migori.
@Azor Ahai nilikuuliza swali hukunijibu,ama lazima i buy some pilsners…tuumite kumwe kuria Nyahururu maniii.ilikuwa kuhusu stocks buying in any of Kenyan banks