Bonobo behaviour

When it comes to using phones, I never understand two things, jamaa akiongea kwa simu, ana shika Simuna mkono moja, hio mkono ingine anaikunja ndio i form connection between the mouth piece na mdomo. If that actually works, watu wa ku design simu si wange tengeneza kitu kama horn iconnect mouthpiece to the mdomo? Halafu kuna wenye wakitumia simu za kaduda wanashika simu opposite kama screen ina face away from maskio.
Hizi behaviour nimeziona Kenya only. The Enigma has been to Ug, Tz, SA, Dubai and Greece na hajaona hizi tabia.

Enigma ulienda greece kufanya nini?

Hio ya kaduda inakuanga imeweza nunua kaduda yako you experience the feeling ghaseer

Kitambo I used to work as a sales man. Tulifikisha target vinoma wadosi wa parent company wakatu invite tour ya factory in a place called Palini huko Greece. Tulienda siku tano na per diem ya 400 dollars per day. Lakini sikupata base ya kuosha rungu huko.

Ehh juu usipopata prostitutes unashindwa what to do next.

Hehehe. Quite saddening

Yaani kila tukienda safari lazima hesabu ya kuosha rungu ikuwe hapo tu in the mix:D:D:D

:D:D:D:D:D:D

earpiece imechomeka sasa wanawweka speakerfone na low volume [SIZE=1]niliambiwa na cousin[/SIZE]

ni privacy tactic kama hutaki watu wasome lips zako

Next time pitia athens, majority of gays in Greece reside there

Boss nimekua nakuangalia venye unajiwasha kama meko. The only thing I will tell you is endelea. Hii ni last warning.

You have exactly 30 minute to apologize for this mharo.

Sorry mkuu, just wanted to help you so that next time you don’t come back with blue balls

Haha, utafanya nini bruv? I pin you my location you come taste my fists on your face?

:D:D:D:D

Ukienda out of country…just google "Red Light District in city of xxxx " huwezi kosa forum imeguzia hilo jambo. Nimeosha rungu pale France by doing that.

What category of the market in Kenya can you make good chums as salesperson.Insurance, car dealer or products salesperson. Si utuchanue kiongozi.

Products.Sana sana electronics.Simu na electronic accessories ni quick money.Start samll,advertise aggressively kwa social media,have a reference shop where people can verify that you are real.Kenya kila mtu huwa suspicious,uki run sponored adds pale twitter,IG ama Facebook,the first question utaulizwa ni wapi duka.Once ukuwe na duka,yule customer atakuja ku buy huko will give you referalls ya wale wenye will not bother about coming to the shop.