Boniface Mwangi ni one man army buana

This nigga’s balls are bigger than helium balloons.
[MEDIA=facebook]id=442513807302648;type=video;user=BonifaceMwangiBM[/MEDIA]

Used to be a great activist until of late nilimwona petty akiingilia ujinga ya ule mungikiress Lillian who did what every good kikuyu girl does ie pretend and run away with the money :D:D
Overall alikua tu Sawa Hizo siku. Tungepata 1000 Boniface mwangis kina Moi would have had a rough time

Moi era kulikuwa na wazito banaa, though most sold out later one. People were tortured, others murdered , and some disappeared without a trace.

And this was in 2003 kama hangover ya nyayo bado iko

Huyo jamaa ana roho. We need half of kenya wakuwe kama yeye. Call out those political pigs

but si you are the ones who vote for the pigs… mtu ameiba pesa and everybody knows but still gets voted in , akikula pesa you complain again…

nani mjina !

Donor funds ndiyo motivation

Hiyo story ya Lilian is interesting. Anaibia Sonko doo anaenda kuspend na broke ass dim eyed nigga. Si we thought it was the way round. Watu wa Bantustan watuambie kunaendaje

Aheshimu Brother Paul

kamlesh si alifungua kanisa ama nini

hapo sawa Bonimtetezi is back in my goodbooks . tukiuliza tu ukweli MUTUNGA NA MARAGA, a man like Patni brought kenyas economy to its knees , in their terms mbona hajawaifungwa

hio video si ya 2003 its recent