bongoforums ni nini na ni wakina nani?

Ishabuma hiyo. Kumedorora hatari.

Yaani…
Mdomo wangu ulibaki wazi wallah… tehteehhh

Wanatushughulisha sana!

Binafsi Upendo wangu kwa JF ulikuja wenyewe! Na niliifahamu enzi hizo kule kwa Mzee Mjengwa. kuna mchangiaji alipangua moja ya hoja zinto pale, Jamaa akapanic Akawambia eti “Nenda huko huko @Jamiiforums mlikozoea Uchadema” nikataka kujua JF ipoje ndio Mwanzo wa kuijua Jf yetu na Kuipenda mno. Wanaipa hadhi sana Jf kwa kuanzisha vya Kufanana Nayo!! “NAWATAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA NYINGI WALE WOTE WENYE UONI CHANYA KWA JF NA TANZANIA YETU” Amina sana.

Hmm!..

Kwani mzee Mwanakijiji ni nani?..nilikuwa naona mada zake tu JF

Hawa bongoforums kwanza li-forum lao limekaa vibaya…screen mpaka ui-zoom yaani ipo very complicated…hata sehemu ya alerts sikuiona…Ila hawa nilipofungua forum yao mara tunasimamia ibara ya 18…nahisi ni majangili wa wanene hawa…:D:D

Kwa pamoja tumkatae mzee mwanakijiji na Forum yake ya kinafiki. Tunataka jamii Forum yetu. Vinginevyo hatoki mtu hapa kakuma talk aka KT

[FONT=courier new]Ukiona Forum GENTAMYCINE ’ sijashoboka ’ hata Kujiunga nayo na sina habari nayo hata kama inapigiwa Promo / Chapuo vipi jiulize mara mbili mbili. Kitu pekee ninachokiamini duniani na kama pia hata huko ’ Mbinguni ’ kwa Mungu Baba nitakikuta basi ni Mtandao wangu pekee na pendwa kabisa wa JamiiForums.

Nawashukuru sana Wakenya na hii KenyaTalk yao kwa kuikaribisha JamiiForums japo haijachangamka kama tulivyozoea ila Waswahili wanasema afadhali Tisa uliyoishika kuliko Kumi nenda rudi. Hakuna Forum ambayo itakuja kuipiku JamiiForums labda itawezekana tu pale dunia itakapopinduka.

Na hii ni sawa sawa naona siku hizi kuna Watu sehemu mbalimbali tu wanajiita / wanajibatiza jina la ID yangu ’ tukuka ’ na ’ brand ’ kabisa ya GENTAMYCINE wakidhani kuwa labda watakuwa kama Mimi au watafanana na Mimi ’ Kimaudhui ’ au ’ Kiuchangiaji ’ ili nao waje kuwa ’ Famous ’ kama ’ Mwanzilishi ’ lakini wamesahau kabisa kwamba Mwanzisha Jambo atabaki tu kuwa na ’ taste ’ yake na hata ufanyeje kamwe huwezi kumfikia sana sana tu utakuwa unamfanya azidi kukubalika, kufuatiliwa na wengi na kuaminika.

Kuna Watu Mwenyezi Mungu ametuumba na ’ shani / tunu ’ zetu hivyo hata ’ ujitutumue ’ vipi kutaka ’ Kutufunika ’ na kusafiria ’ Nyota ’ zetu hutoweza na kikubwa tu wenye akili ndiyo watakudharau hadi kukuona ’ takataka ’ tu. Na ndiyo maana katika ’ Signature ’ yangu nimeiweka wazi kabisa kwamba GENTAMYCINE ’ [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '.

Cc: @GENTAMYCIN

Naamini kabisa kwamba ’ message sent and delivered ’ na [COLOR=rgb(184, 49, 47)]naomba niishie hapa tafadhali.[/FONT]

ile ni ya mwana village,uliona wapi mwanavillage anaanzisha thread ya sports

Kwa sababu una akili

Sijawahi kumuamini uyo jamaa

Alikuwa mpiga debe wa Magufuli wakati wa kampeni za uchaguzi 2015, that’s all…

Wanahaha sana

@GAZETI nimekuona kule

Wapi mkuu?

Mtu kama Mzee mwanakijiji kwenye sekta ya ujasusi anaitwa ‘Double Agent’ so don’t put all your eggs in one basket. Kwanza yeye amejitabanaisha ni mwanaccm tena ni homeboy wa Jiwe , na amekuwa akiipigia chapuo hiyo forum mpya na kuhimiza watu kujiunga, why?

Kama kawaida yako:p:p:p:p:p:p

Huyu mzee ni mtu wa pangani huko Tanga, ni msambaa.

Zamani sana alikuwa alikuwa akiweka makala yake kwenye gazeti la Mwanchi akijiita Lula wa ndali Mwananzela.

Bongoforums