ni nani wako nyuma ya huu mtandao?
kwa nini baadhi ya waliokuwa wanatoa matumaini ya kurudi kwa jf haraka ndio wanaipigia chepuo hasa mzee mwanakillage?
wajuvu na wafuatiliaji wa mambo mnaweza kutoa elimu jamii, watu wasijejikuta wamedondokea kwenye urimbo wa dhahabu.
Nina hisia flani hivi na huo mtandao sijui kwanini
Kuna jamaa alicomment kwenye Bongo forums… Mara pasipo kutarajia, kuna member mwingine akamtumia PM huku akimtaja jinalake halisi… Jamaa kwa mshtuko sana, alilogoff na hakurudi tena hata kuchungulia huko Bongo forums… Basi alipo nisimulia, nilicheka sana aiseeeee… tehteehhh
Hahaha mi niliusoma mapema sana hao ni mandata original
Hao ni LUMUMBA street.
Kaeni mbali nao
:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Mbarikiwe kwa kunipa elimu matembezi (exposure).
Kwa harakaharaka hadi sasa nimeanza kubakiza 50% ya uwezekano wa jf kurudi kama tamaa ya wengi katika ubora wake kama ile na wale waliomo na wahamasishaji wake ndio hao.
Kina Lumumba ndo wamejificha huko
Aisee kumbe bora kutulizana hapa kwanza
Kwa hali ilivyo,bara hapahapaa kwa kenyatta
Nivyema kufanya hivyo maana tukitanga tanga sana tutaangukia pabaya…
Bongoforums ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Kule kuna shida nyingi zinaonekana halafu kunataka umakini la cvyo utaishia kwenye pingu
Mnaenda fanya nini, bakini ukimbizini tu ndio deal
Binafsi niliwahi kuipigia upatu humu, tena nilianzisha uzi baada ya kushauriana na wadau kadhaa ambao tulipewa taarifa kwa pamoja kuhus hiyo forum.
Tulipoanza kuhoji waanzilishi wake na wamiliki, tukakosa majibu ya uhakika.
Cha ajabu tukaona na kusikia kuwa Mzee mwanavillage anaipigia upatu kwa hali na mali huku akionekana kuijuia kwa undani, kilichotupa hofu zaidi ni kuwa aliyetupa taarifa hakumtaja Mzee mwanaVillage kama anahusiana nayo au la, maana tulitajiwa watu wengine ambao wanasemekana ni Madiaspora na hawafungamani na ukada wowote wa vyama vya siasa nchini mwetu.
Kingine kilichonishtua pia, miongoni mwa mtu ambaye tuliambiwa ni waanzilishi, alipokuja kwenye hiyo forum alionekana ni mgeni maana aliaanza kushukuru kwa kutengenezwa hiyo forum na kufurahia kujiunga huku akiomba kukaribishwa, kwa mtu ambaye angekuwa ni mwanzilishi sidhani kama angeanza kwa maneno kama hayo badala ya kututambulisha kuhusu hiyo forum.
Kwa sasa bado kuna sintofahamu juu ya mwanzilishi na mmiliki wake halisi.
Duuuuhhh
Duu kama hivyo bora nibaki hukuhuku kwa kenyatta ngoja nikachukue blanketi langu tu
Choo cha ndotoni hicho usikitumie…
Awali walisema ya Rev Kishoka kumbe nayo ni uongo.
Ila ukweli umejidhihirisha mwanzilishi ni Mzee Mwanakijiji na hili hataki watu tujue yeye ndio Mwanzilishi.