Bomu: Rais wa Zimbabwe anusurika kifo

Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amenusurika kifo wakati kitu kinachohisiwa kuwa ni bomu kulipuka baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa White City, Bulawayo.

Tukio hilo limetokea saa chache baada ya mlipuko mwingine kutokea wakati Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dk Abiy Ahmed kunusurika kifo alipokuwa akihutubia jijini Addis Ababa. Mlipuko wa Ethiopia umesababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine zaidi ya 100

Kuna mwanafalsa mmoja wa Ugiriki ya zamani aliwahi kusema “kila kukicha afrika kitazuka kituko kipya”

Munasema nini?

Assassination attempts in Zimbabwe and Ethiopia.

Hawa magafulians wanasumbua.

Wanasumbua au wanatu updates? Learn to appreciates good efforts bro.

Keti meff.

Wacha kuwa drama queen. Kama waudhika bonyeza ignore

:smiley:

Keti

Unfortunately sijui hata what keti meffi means? Ahahaha!

Hehehe… @Mbele iko Sour ni Mkenya wa Murarandia

Salimia mpenzi wangu @Shunie ukimuona huko jamii forum category.

Pia wewe keti

Kutoka hawa watu wa tz wakuje huku huyo jamaa amebadilika hadi avatar akabadilisha.

Nitajitahidi sana kufikisha salamu kwake shemeji.

Karibu Dar.

Sawa.

Strange cases.

Who wants these two leaders dead? When they’re on the brink of transforming and opening up there countries.

threads za wa tzd inabidii umeingi ukiwa na window ya google translate hapo kando.

Zimbabwean President Emmerson Mnangagwa survived death when something was thought to be a bomb explosion after completing a campaign meeting at the White City Stadium in Bulawayo.

The incident occurred a few hours after another explosion occurred when Ethiopian Prime Minister, Dr Abiy Ahmed survived death while addressing him in Addis Ababa. Ethiopia’s explosion has led to the death of one person and injured more than 100 other

After watching and analysing Hio vid ya Zimbabwe I’ve concluded it was stage managed