Bollocks!!!

When you have the perfect plan for a self treat for Christmas, ati urudishie mwili shukrani, and then you suffer a lousy case of food poisoning on Christmas eve. Sawa tu.

1 Like

Unaendesdha ama nikuhara?

Driving. Full throttle! Fever, throwing up, fever. Damn!

Kula indomie polepole wacha kujitetea na food poisoning.

5 Likes

Ambia @Kihii Kiaganu akupatie tips. Yeye hukula mashakura and has never had a problem.

2 Likes

Pole Sana.

Si lazima ujibambe kesho, immediately you get well it can be then. Ata 27th …also 31st is a big day too.

1 Like

Leo nimehata puthy na sisumbui.
Shida yako ni ndogo

Nunua dawa. Washana na mbundles.

2 Likes

:smiley: Kipii na ujinga mko sambamba

o_Oo_Oo_O

Thank you.

Take Fragyl, kuna ile ya single dose and immodium. You should be sorted within a day.

2 Likes

Pole brathe. Kama unasubaru kunywa maji kwa wingi usiishiwe na maji kwa mwili

1 Like

its flagyl in the broad metranidazole family

1 Like

Flagyl, lakini hakuna pombe, pole bro.

2 Likes

Nimesusia maji. Nikikunywa dakika tano haziishi before nikimbie tena.

Sawa. I don’t care much for liqour…

1 Like

Just keep drinking ili mwili isiishiwe. @Luther12 na madoc wengine can advise better. Ikizidi enda hosi

1 Like

The ‘family’ is called 5-NitroImidazoles, if thick Metronidazole is one. The others include Secnidazole, Tinidazole, Ornidazole, Benznidazole, Nimorazole, etc.

1 Like