Boda boda

Juzi mnebuy bike warior 200 cc, and nmepata field poa sana ,imagine unasambabisha ajali. kidogo kidogo duthi kama mbao wanasimama,mpaka za wahindi zenye mabox nyuma ,oooh ati dere anadharau watu wa duthi sana mara ni wewe una makosa lazima ulipe ama tuchome dae , saa hiyo karao anawatch sinema akiwa bali kwa rounderabout ya nyayo .wengine wanakushughulikia, wakiuliza kama umeumia kama duthi iko sawa nadai mi nko sawa na bike imevuja to mudguard , jamaa mmoja ananishow nchukue bike niishie . gari ya mzee fulani nmeivuja taa ya nyuma mzae anadai ati grogon ni 13k black market . mzae ata kuongea ni shida juu hawa duthian karibu wampige . mimi nachukua bike yangu nkaishia ,nkitoka ndio karao anakaribia. Mzae ata hajui ni gani imecourse accident kila duthian anachukua duthi anajipea shughuli mzae anabaki pekee yake na karao.kube watu wa duthi wanapendana hivyo , duthian for life .

My thoughts as I read this thread.

you are just a greedy @bad guy yaani taa ya nyuma na nduthi ni bei moja… jinga sana

Kama hii ingekuwa kesi ngeenda jail direct ckuwa nmebkisha anything used all my saving , love this duthian guys from that time

nilisema mungich ongea lugha umezoea pale KINO si kuuwa kiswahili kifukuzwe

Hehe, uki cause accident lipa

:D:D:D:D nugu hii endelea kupeana loan mos mos

Utalipa siku moja

If your aim was to bore me to drink,mission accomplished

chuma chako ki motoni… siko yako ikifika utasweat mpaka makmendes utajua hujui

@ugwesmakende rombosa huyu mans madiginda

Yes jail is where you belong and its a good thing you know it, whom do you expect to cater for your negligence. Probably you don’t even have a licence or insurance policy or both.