Boda boda stone a motorist in kitengela

This why a man should carry a pistol.

1 Like

Back story

Jibaba inatoa fustrations zake za UDA on motorist.

3 Likes

Amegonga mtu wa boda

Hehe, enyewe you need a gun to shoot in the air and scare away the boda guys. But pistol sio enough man. Umenikumbusha tukio fulani in 1999.

Many years ago pale huruma, kuna madingo walikuja kudhesha kwa shop fulani ya kuuza food stuff kwa bei ya whole sale, madingo walikuwa na kidungi. Waka shoot juu kushtua watu wahepe wakiteremkanga na kiamaich, wasee bado wakaendelea kuwakimbiza banae. Walikuwa na hasira sana. Waka shoot tena kushtua wasee…wasee wakaendelea kuwakimbiza na kuwarushia madimanga. Kitu sijawahi sahau, walikuwa wana shoot, wasee wanahesabu moja, mbili, imebaki mbili, imebaki moja ua! ua!. Hao madingo si walikatikiwa na bullets, walikuwa na less, si walishikwa wakaekelewa madimanga na wakachomwa.

Huruma ilikuwa noma saidi but hio place huwa kwa roho yangu, lazima nifikange hizo sides to say hi to mabeste wa enzi zile.

14 Likes

Ukiangusha watu watatu kwa hiyo crowd they scatter

4 Likes

So uliomoka ukahamia green leafy suburbs of Runda?

3 Likes

Mbitika wewe ni mharo ya @sokwemtu

3 Likes

njoti ya @Punda wewe

takataka

5 Likes

Wewe ni meffi ya nugu mbwa

4 Likes

Niaje mtaa za Eastlando maboy hawatokangi kwao. Majority wauzeekea kwa wazazi. Wanaoa masiz wa childhood friends kakisonga

5 Likes

Siko sides za Runda kaka, maombi msuri. Niko sides za Ruai. Ni kujituma tu

4 Likes

Madingo wa huruma ndio walikua wanaenda ku terrorize ma area za outering usiku enzi zile.Kuna siku nimeamka late nikakosa mat nikaamua kutembea hadi outering kwa ile stage ilikuanga pale kwa main gate ya pioneer mahali double m zilikua zinasimama.Nikaingia double m ya kuelekea tao.Gari ikaanza safari tukaingia hio route ya outering.Kabla ufike ile roundabout ndio ufike Buru police station on your left,there was a heap of 4 bodies banae next to wall ya court ya mahao za huko.Walikam kudingo usiku kumbe ma residents walikua wamechoka.Wali raise alarm ikabidi wa try kuhepa.Kuelekea gate ya court wanapata wanangojewa ikabidi warudi wa try kuruka fence ya mawe yenye iko na zile broken bottles hapo juu.Waliruka but wakashikwa na squad kabla wafike mbali.Walipigwa ma rungu na madimanga hadi waka die.It was a nasty blood bath.Damu kila mahali.

6 Likes

Siku hizi kumetulia.

1 Like

Nakuombea ushike 3 acres hapo Runda ukuwe na sprawling gated mansion alafu utuitie mbuzi tukule

2 Likes

Hehe, sand sana pia wewe nakutakia makuu kaka shifo

Amen my brother

1 Like

Kenya is a very lawless society. Ni kama tu Mad Max Fury

1 Like

One shot in the air, the next one to a knee. And wait to see how tough they are.

2 Likes

Elders munisaidie, hapo inaniambia video unavailable

3 Likes