ChifuMbitika:
…
facebook.com
Boda boda riders burn a Nissan Matatu that hit and killed one of their own in…
Boda boda riders burn a Nissan Matatu that hit and killed one of their own in Gitaru, Kikuyu area
Hio ni mia saba hamsini elfu ya elder imechomeka. Hii upuzi ya watu ya boda inafaa kuisha.. hatutafika levels za maana kama 95 percent ya wake ya wakona akili kama ya watu ya boda.
3 Likes
Yuletapeli:

Hii kitu inaitwa boda should be made expensive to buy and maintain. Ruto apandishe tax on importing boda. Bei ikuwe minimum of 250k. Siku hizi hata vijana wamekataa kazi zingine wakimaliza form four ni boda tu
4 Likes
ChifuMbitika:
…kuyu area

Yeah.. ati heri wakae kwa barabara wakingoja ma 50 bob na wamewacha mashamba mzuri.
Wengine wanawacha places kama hizi wanafika nairobi kuishi kwa slums na kufanya kazi ya usoja
1 Like
ORIGI27
December 31, 2025, 10:40am
5
Yuletapeli:
…tax on importing boda. Bei ikuwe minimum of 250k. Siku hizi hata vijana wamekataa kazi zingine wakimaliza form four ni boda tu
Yeah.. ati heri wakae kwa barabara wakingoja ma 50 bob na wamewacha mashamba mzuri.
Wengine wanawacha places kama hizi wanafika nairobi kuishi kwa slums na kufanya kazi ya usoja
20251225_1554561920×1440 801 KB
20251225_1554541920×1440 668 KB
20251225_1554531920×1440 718 KB
Matrix ndio inafanya wakue town but abandon such scenery
3 Likes
ORIGI27:
…zi hata vijana wamekataa kazi zingine wakimaliza form four ni boda tu
Yeah.. ati heri wakae kwa barabara wakingoja ma 50 bob na wamewacha mashamba mzuri.
Wengine wanawacha places kama hizi wanafika nairobi kuishi kwa slums na kufanya kazi ya usoja
20251225_1554561920×1440 801 KB
20251225_1554541920×1440 668 KB
20251225_1554531920×1440 718 KB
Matrix ndio inafanya wakue town but abandon such scenery
Msee anachapa online jobs kama @Sanchez11 hapa anaweza ishi kama sultani
3 Likes