BMW Imeskia Kilio Cha Wakikuyu

https://scontent.fnbo4-1.fna.fbcdn.net/v/t1.0-9/43950725_2111266665570485_4832689444748263424_n.jpg?_nc_cat=109&_nc_eui2=AeE1ZP4wAuxMa1r1pgCWp6i-7yX-kdaBr1VpvOXzPjGQizdChNVREVq97y3BB7O8PyUaHjbugPdIG0O_j4d5LEaKDNMaNaQ56HquZJDOuVzHWw&oh=868c6f17e6d761c3cef7159ee464a784&oe=5C5B3E41

Mugikuyu means mugi-kuriothe

Fail

Hii inakaa ile probox imekatwa

Hehehe…hii sasa ni ufala

For that price afadhali umunue Toyota Matrix na Isuzu pickup so you end to with 2 cars

that car has the kirai of an NP200 au kale ka Opel.
Shiny eye ukimake it nunua Ford Ranger,ikishinfikana chukua dmax.

Si hii ni sedan imekatwa mgongo.

Tiga ûkabira meni!

Hii kitu na pelekea @introvert akatee roof top ikuwe convertible.

Alafu uongeze viti kwa karai ama

Unaweka bench .

Too small!! How many cows can fit on the back?

Bado zitabuyiwa… Lakini taste za wasee!

kukua small sio shida, swali ni can you afford it?

Mbecha sio shinda. Wewe niambie ng’ombe ngapi na gunia za mahindi yaweza toshea halafu nitaweka order!

Mzee kata anasumbua

hii haibebi ngombe, niyakubeba madryfry tukienda beach

Dryfry ile mimi najua ni ya nyama, waru na nyanya. Ndio nauliza ni gunia ngapi yaweza toshea?

:D:D:Dna meza alafu unaweka parking we na mboyz mnashikisha sawa