Kweli kapsaa, juu wanajua atleast 90% of Kenyans watakula ugali, sembe au sima depending on where you come from. Ebu jaribu kuambia msee wa western ati aongeze b/b kwa sembe uone vile atakuangalia vibaya…
Alafu most of them will buy to try just out of curiosity…whether they like it or not,the sale made. When its no longer working,they’ll come up with something new
True. Nishawahi enda kwa dem akanipikia sembe ingine sooooft na mayai amechanganyisha na spinach. I almost puked, siku hiyo nililala njaa- nililungula na reserve energy…
Hapa pwani utapata four guys kwa kibanda wameitisha sima kila mtu yake lakini kitoweo ni a piece of fish between the four. Wanamaliza sima lakini the kasamaki (kiboma ) bado kamebaki. Itabidi wameitisha sima sosa ndio kaishe.