Blood business in Kenya.. I also learn it the hard way when my relative needed urgent blood donation

https://twitter.com/Asamoh_/status/1747870237314142696

2 Likes

The last time I donated blood was in high school, I needed that soda and loaf of bread bana.

It took me a very short time to fill that thing, later my people warned me never again When in need they never dish it. So I save my blood for my people.

6 Likes

Way to go. They should be an incentive to donate, either you get paid or if you ever need blood you get a huge discount. I would only donate for our security people

1 Like

Sisi watu wa AAR insurance hatunanga hii shida …

2 Likes

AAR insurance hawana blood bank yao kibinafsi gadhee.

1 Like

Bwana ya cuzz wangu alipata accident n he needed blood donation. Bad luck nilifika saa zile washamaliza. But ningedonate.

1 Like

Watanunua …

People should know kama una toanga/donate damu kwa blood transfusions center they have the record and you wont pay nor need donors when in need of blood. Regular blood donation is linked to lower blood pressure and a lower risk for heart attacks.

2 Likes

buda hakuna kitu kama hii… Patwa na emergency ndio utajua

2 Likes

It’s business.

3 Likes

Msee anafaa kuuza, kama hosi wanakuuzia 9k, basi wanunue na 5k, waone vile uchumi itaimarika. Shida ni watu wengine wata fuga watu…wanalishwa fiti, tu matunda ivi, tu spinach ivi tunyama pale. Tusamaki hapa, mdosi akingoja siku ya ku collect damu. Ushetani.

Sasa hapo ndio unapata mtu anakaribia mutu unaona mujamaa amekuja mbio anamfukuza akidai “wewe washa jebe yangu, hautamwaga boga nimwage unga turare jaa”.

Umesahau tumaini na figo

2 Likes

And what the fuack is a blood ambassador? Analipwo mirrioni ngapi

3 Likes

Na anafanya nini hasa?

Binadamu ni nani. Kama umelifikiria lazima linafanyika mahali duniani.

1 Like

Kweli kabisa, kichini chini lakini. Those collecting the blood are doing it, selling the blood to the hospitals. Wakora sana.

1 Like