Sasa niko kejani nawatch local tv na wife , then out of the blue ananiuliza hii potus … Potus saa yote ni what???
Nimeisha yangu yote nikaenda kutafuta drink before nirudi kumjibu.
Enyewe leo wife ameniangusha!
1 Like
hehehe every turn of events is worth a drink,hata angepika food tamu ungetoka kuenda kunywa kusherehekea
4 Likes
picha ya kuangushwa
5 Likes
Haha, umemcheka hivyo? Leo hakupi kanyau.
Ame uliza vi innocent sana. Kanyau nilikula by 6 jioni …usiku akikataa niko tu sawa.
2 Likes
usim blame kuna ma mbleina hapa pia ambao hawajui POTUS ina maanisha nn…e.g Uwesmake Wakanyama and many more …watu kutoka ocha…ushago…interior
1 Like
Hehehehe. Mimi news niliacha kuwatch Monday
[ATTACH=full]10251[/ATTACH] [ATTACH=full]10252[/ATTACH]
Aki that’s a sad one…Shida ya kukatia mamboch!!
Na Sijasema bibi yako!!
Ouch!
@Female Perspective. Itabidi sasa nitafute wewe nikukamue
Hahaa!! Well put.