Lakini wanaume ni watu wa ajabu Sana. I block you, you go buy another line alafu unanipigia I explain to you why I blocked you?! Ati ulinifanyia nini?! Like seriously?! Mimi sasa nitakumbukaje Chenye ukifanya?! I block people because I forget things quickly especially bad things! So nakublock instantly nisisahau ulikua umenibore.
So what is happening huku nje are women finished or what?! I really expected at this my age to become invisible to men but unapata wanaume bado wanakusumbua mpaka kwa lift, unakatiwa mpaka na karao. Surely, what am I doing wrong?! I dress very very conservatively, what else can I do to get Chimpanzees to leave me alone coz walahi mambo za wanaume Mimi sitaki kabisa kabisa. Libido ulikufa. I don’t feel anything even for very very attractive men. So I want the feeling to be mutual. What can I do so that men can stop talking to me?! Wengine ata sijui kwenye walitoa number yangu. The last man I dated chased me for over a year after I dumped him. Like sielewi. Right now ata hio kudate staki anymore. Yet a week can’t pass without a man approaching me. Si muendee watu wa 20 sasa mimi ata pussy yenyewe sina nitakusaidiaje? Pesa Niko nayo ni yangu sina ya kufuga mtu. Guys, I need peace. Ama nianze kuvaa ring coz walahi nimechoka. I am too old for this bullshit!