Blizzard in 60 seconds.

[MEDIA=twitter]1608446170334101504[/MEDIA]

Africa ni heaven hakuna hii upuzi

wako wapi watu wa I yam drimin ov a hwait krismas?

Noma…

Niliskia kukisemekana Ati hio “upuzi” ndio ilifanya watu wa huko waanze kutumia akili kuliko nyeuthi relaxing in tropical climates.

At the end of the day, all that is water which will power the economy in terms of hydropower generation, agriculture, water ways/rivers that ships can sail in and clean water for domestic use.

Ukiwa comfortable huwezi fikiria

Kwani hizi vitu huwekwa baking powder . Bure kabisa. Ngombe ici

If that happens in Africa more than 1/2 the population would freeze to death.

Ukibleki Kwa manyasi. Unakua missing hivo tu

I have a friend kule yues, mujamaa alinisho snow ni poa tu kwa telly ukiwa huko ina udhi sana. Hajakaa sana hizo sides.

Nature has a way of fcking you. You fck other countries by supplying missiles and mercenaries, tornadoes and blizzards come knocking you off guard.

Cope