(Generation X by broadest
definition includes those
individuals born between the
early 1960s and the early 1980s )
the most disaffected and directionless, the generation that could, but decided to fuvk up.
i think gen X inafaa ikuwe sisi wa btn 1975-1986 . watu wa 60s ni generation W na generation Y is the worst Generation ever .
I think the cutoff is 1990…they are the ones of xaxa
In America and the Western World, Son. Hapa Afirika Gen X ni baadaye kidogo…
leo umekuwa idle sana , hujameza konyagi uanze ma sweep
early 80s fits well
When i first opened the thread i thought he was talking about these guys
http://www.wrestlingmedia.org/wp-content/uploads/2011/06/Wallpaper-of-D-Generation-X1.jpg
Nitumie 500/- ya mixer
Hehe…wewe uko kwa hiyo fuaked up generation. Sio? Wewe ni wa 83-85. Mwana uyu.
watu wa before 1975 ndio waliharibu kenya .
1990 ako 26 na bado ni wa ‘xaxa’?
xaxa ni akina @Deorro na @Mzee mzima , wasee wa after 1990
Tuheshimiwe…mimi na Gashui. born 60s.
Huonangi vile gashui hufikiria kama retard? Pamoja na 58 yr old @Nattydread , 52 yr old @maathais , 49 yr old @Wakanyama na 102 yr old @field Marshall couch p
lakini angalau mi hufikiria vizuri. Si ndio uncle?
DJ mixer? Food mixer? Cement mixer?
Hii ni generation XXX.