blackfriday sales

The deals on amazon @ www.amazon.co.uk especially on phones are so amazing hadi naona jumia is a big joke … wish i knew someone who stays in the UK or a cheaper way of buying and recieving the percel right at my door step

Wacha niingie huko nicheki

Acha phone angalia HDTV screan kubwa bei ya kutupa

nikibuy kitu 8k huko itafika hapa na how ?

walalala am shook! … i want this but i dont know how to go about the whole thing

utapigwa na butwaa my fren

1 Like

Looking for these double bass pedals. Leads? [ATTACH=full]140844[/ATTACH]

1 Like

follow the drumjam Kenya page in Facebook you may get a solution

1 Like

Thank you! How about Rock guitars? [ATTACH=full]140846[/ATTACH]

http://www.ukdukas.co.uk/

1 Like

those ones check @ melodica music shop in town or in amazon.com. nyingi za town ni fake. even the likes of kassangas sell no.2

this specific one Kenya hautapata…na in the unlikeliest case upate,utagongwa price…import only.

hi deal ya jumuia ya tusker 500ml can at 84 bob nanunua tusker za 10 k , nijaze fridge

3 Likes

Leta link ya hizo simu unasema…if you want to import ongea na hawa jamaa…tuma mzigo nyumbani uk…wacha nitafute number

Morris Njuguna
+447949 531 238
07474 951 195

Sanaipei
01582 561029
0739 810 5110
Kenya Exports LTD

1 Like

This time usinunue ujinga, imeongezwa maji…

nimeenda jumia and apart from the Tusker zenye sijapata the 119 pieces the other drinks wanadanganya about the prices which means wanadanganya other products pia

kwa wholesale

Jameson 750 ml mimi hununua 2000 wanasema sa hii ni 1,940 from 2,450

Johny walker black label 1 litre mimi hununua 3,000 wanasema ni 2,960 from 5,000

wakenya munachezewa akili na hizi nyangau corporate beasts .

navile nataka kubuy ibrit hapo eti naona imeshuka price by half … ? kumbe ni lies but pia techno w3 wanauza poa sana from the original price na tusker 6 can hawadanganyi sana pia

sande sana

Tusker can ziko sawa but hata hazipatikani .

wapi link mukubwa?