Let me give you a story, @Deorro akiwa class two, kulikuwa na club inaitwa Nyanza house! Monte Carlo na F2 ndio zilikuwa kusema back then. Sasa kupromote hiyo club ilikuwa nikutoa mixtapes. Kulikuwa na 3 djs wakali sana called DJ Last Born, DJ Simple Simon na DJ Ronnie Boy.
Sasa as usual units huvunjika, Simple Simon na Last Born wakaenda majuu. But huwezi mix majuu ukijiita Black Supremacy. Ikaitwa supremacy sounds.
Presenting to you the original Ragga Party Nine. Hii mixtape ilifanya wasichana watoe suruali.
Ebu fafafnua hio muneno misuuuuuri… Venye niliskia ni kwamba initially Simple simon hakuwa Dj, kaziyake ilikuwa kama promoter hivi, then akaanzisha Black supremacy na equipment zilikuwa zake, kazi ilikuwa tu kusaka maDjs. Then wakati aliona kuna venye wanambeba ufala akaamua kujifunza kumix ndio wakileta ufala anajisort mwenyewe. And that’s how they broke links with Lastborn later on.
Niko radhi kukosolewa.
Yeah
Tulianzana kongoni river rd then brilliant alafu rd shows all over 047.
Thats where we got the passies.
Kona Mbaya, Dallas machinery among many others
Ukweli. Lastborn ndio alikuwa the main man . Ata dancehall missile kufika 13 zilikuwa ni yeye. Vile Ronnie alikam, ndio story za chemil zikaanza. Kufika 28 took a whole year. 30 ndio ikakuwa ya mwisho ya Nyanza house. But the brand was too big, vile simo alicheza lastborn sijui. Lastborn went to an FM station ya US.
Mombasa rd we had Bedouin Complex.
Hapo ndipo Meria arirukia millennium.
We had been cheated Kuna millennium bug ita chew files zote on comps.
Hehehe.
Story for another day