BLACK SUPREMACY- RAGGA PARTY 9

Let me give you a story, @Deorro akiwa class two, kulikuwa na club inaitwa Nyanza house! Monte Carlo na F2 ndio zilikuwa kusema back then. Sasa kupromote hiyo club ilikuwa nikutoa mixtapes. Kulikuwa na 3 djs wakali sana called DJ Last Born, DJ Simple Simon na DJ Ronnie Boy.

Sasa as usual units huvunjika, Simple Simon na Last Born wakaenda majuu. But huwezi mix majuu ukijiita Black Supremacy. Ikaitwa supremacy sounds.

Presenting to you the original Ragga Party Nine. Hii mixtape ilifanya wasichana watoe suruali.

https://drive.google.com/drive/folders/0B-lD9h4rFbw-b2xWUGh2aUJiRGM?usp=sharing

Dancehall missile zinakam soon. 1 to 30. Keep it locked

Wazi bro, leta zote mpaka za holy mbao.
@wildfrank njoo hapa

Ebu fafafnua hio muneno misuuuuuri… Venye niliskia ni kwamba initially Simple simon hakuwa Dj, kaziyake ilikuwa kama promoter hivi, then akaanzisha Black supremacy na equipment zilikuwa zake, kazi ilikuwa tu kusaka maDjs. Then wakati aliona kuna venye wanambeba ufala akaamua kujifunza kumix ndio wakileta ufala anajisort mwenyewe. And that’s how they broke links with Lastborn later on.
Niko radhi kukosolewa.

Alafu ni maDjs wagani walikuwa Vybestar Thika?

TBT Kuna pupa leftie, king Monday na Jackie Marley.
King lion sounds.
Kwa show ground kitambo sana kulikuwa na Omega Disco.

Club boomerang for funk music we had dj hussein Abdallah

Umesahau msitoh Papa charlie. Nimekutana nae twice akiwa ameleta msichana yake hosi mahali…

Yeah
Tulianzana kongoni river rd then brilliant alafu rd shows all over 047.
Thats where we got the passies.
Kona Mbaya, Dallas machinery among many others

ilikuwa base yangu kila thursday…madem wanatty

Niko na ile Missile ya Dj lastborn Imeanza na ule wimbo wa Alpha Blondie- Jerusalem…2004 is the year

hebu ziangushe. Tunazitafuta mbaya

Priss ukiload nitag

Hii boomerang ni ile ilikuwa city park?

in due time nikifika mahali iko free wifi.

Ukweli. Lastborn ndio alikuwa the main man . Ata dancehall missile kufika 13 zilikuwa ni yeye. Vile Ronnie alikam, ndio story za chemil zikaanza. Kufika 28 took a whole year. 30 ndio ikakuwa ya mwisho ya Nyanza house. But the brand was too big, vile simo alicheza lastborn sijui. Lastborn went to an FM station ya US.

Ilikua museum hill.

Mombasa rd we had Bedouin Complex.
Hapo ndipo Meria arirukia millennium.
We had been cheated Kuna millennium bug ita chew files zote on comps.
Hehehe.
Story for another day

ES ES ES can Ktalk have a date with you kesho … Biopsy ssn 5 or this one about millennium bug.

hehehe Y2K…

My friend hekaya in the works, hopefully Pt 1 in the morning, it’s a long story