Ati black panther imeshinda Titanic mwakubaliana na hili kweli
Imeshinda kwa njia gani? You’re comparing a Romance/Disaster/Drama to a Sci-fi/Action/Fantasy film.
Haziko kwa darasa moja…
si kuna bonoko mwengine alikua akisema ivo juz kwa net
kwa mbio za maji ama ?
saa ingine kuwa specific lundi guok
[SIZE=5]box office return,highest grossing movie[/SIZE]