Nani ako na black out. 5 hours now.
7 hours hapa
whats hapening at genya bawa?
Wapi?
Cunt relate,…for now…
Cunt relate.
Peasant problems hapana tambua :D:D:D
Huku Kangemi tuko na stima
Huku soweto, tuko sambamba. Hata nimechemsha tu maji ya cocoa saa hii na coil.
Kahuwa shida tupu. 5 hrs
Peasants everywhere
Extension yangu inafanya laptop inipige shock mnaona iko na shida ipi?
ground.
- If the ground connection on the charger is not working.
- You are using the plug with a female ground. it does not connect properly on any extension i know in kenya.
- Your extension socket ground wiring is faulty.
- Your wall socket ground wiring is faulty.
Washa koroboi
Hi dear
Hi
Saa hii ndo imerudi.
hi dear
meffi… tafuta rika zako kina @Mzee mzima ucheze nao
sawa dear