Black ops.... Cc uwesmomo

Niaje mzito niko hapa undisclosed location nikitoa lock on my well deserved break from work nimeingia bar saa moja na nusu asubuhi momo imefail kuload
[ATTACH=full]53964[/ATTACH]

3 Likes

Wapi momo

1 Like

KDF , mbicha ya momo ?

1 Like

Way to go man, way to go!

Ilikua akuje ameniwacha mataani

Mimi niko matini na sisumbui raia.

1 Like

Bianco ama rosso and for your info martini ni pombe ya wanawake(no hard feelings)

1 Like

Chunga omwami usikuwe alcoholic. It is too early to drink.

1 Like

wochman mwanamke unakunywa matini ama martini ama ni kushrub unashrub .

1 Like

Upus

Pombe niliwacha last week, felt good having 10k in your mpesa on Friday and having it still there on Monday.

Omwami uliza hio bukusu shepart kama hakuna club bungoma inaitwa matini?