bitcoin

Nataka quantity supplier wa bitcoin kwa bei sawa .leteni offer munukishe kitunguu

halafu uhepe na pesa zetu? Kuja local bitcoins, niko na BTC za 500k n more

Mbona hutaki kununua localbitcoins??

[ATTACH=full]198932[/ATTACH]

worth Ksh 500k

Mwisi

niko na idea unaeza nukisha kitunguu proper ntakuchanua ukiniona za macho

sawa

escrow

amekuibia?

nipe link yako ya your local bitcoin

Unadai za how much in ksh?

Rudi kwa ile shimo ulitoka, ati unataka “quantity supplier” wa Bitcoin. Unadhani Bitcoin ni viazi utanunua wholesale uuze retail. Hehehe.

5btc unipee za maitho

kumbe si viazi?

Ok,