Madame wa siku hizi sijui ni ujinga wamejaza kwa akili ama??
Mwingine tulikuwa tunachapiana na yeye juzi ameanza kunichapia story za chali anaeza date…Ati haezi date chali mfupi personally mi niko 5’9…Alidai yeye chali anadai bora awe mtall, brown skin na akuwa handsome ndo wapate beautiful, tall and pretty kids…
Mamii utapata huyo chali na upate mtoi mwingine anafanana na NG’olo Kante…You know life is a bitch…Unaeza pata huyo chali na mtoi atatoka pale akuwa fala ka ng’ombe…
Huyo ako na upuss. Wacha atafute mtall kama atapata. These are kind of ladies who end up single mothers, or get married as second wife. Atafundishwa na dunia and be sure she will live to regret.
Hapa amekudharau ile mbaya. Ukiambiwa hivo unafaa ujifungie kwa nyumba alafu uingie ndani ya gunia design yenye ata furniture zako hazitajua uko around.
kaimera is a short, Ugly and black mongoose. Pole kijana hujafika mboga…
Being tall is a privilege. All the bitchez want to hug you and put their arm around yours…it is a good life. Maybe you will reincarnate as a giraffe in the next life…
nikona beshte budake ni mrefu kabisa na mathake mfupi kabisa… jamaa alipata height ya mathake 100%… hiyo hesabu ilibackfire; genetics si kitu ya kuchezea
Am slightly of above average height(Najua nikitembea kwa street za Nairobi very few people are taller that me) lakini huwa sitaki kusimama karibu na dame mrefu kuniliko mimi ufeel awkward sana.