Birrioneas Wanalia

[ATTACH=full]490601[/ATTACH]

All areas zenye zoning laws were relaxed to pave way for apartments zimeshuka bei.

Meanwhile, Muthaiga and Karen bei imepanda in the last 5 years.

Niliwaambia true birrioneas only buy in low density areas with strict zoning laws. Minimum ni half an acre.

Now every guy with some money lives in Kile, Kili, Lavington shoebox apartments. Niliona kuna bedsitters huko nowadays wanaziita studios. This is the beginning of the end for those areas. Kutakuwa “inner cities” sasa.

Difference na pipu ni hakuna keja za 3k kama za chieth guest

Hehehe wacha vindu zireset ama zijicorrect. Nilicheka juzi some lady alikuwa tunapiga makazi naye 5/6yrs ago alikuwa anakazana na tenda za county, wrestling na jamaa za finance wamlipe, madeni etc, only for her to get a good payout akadump 20mill savings included kwa apartment Kilimani na akaamua kuishi ndani. Sasa kazi zimekauka, new players wanadai kula hadi anafkiria kutoka aende mashinani nyumba aikodishe ama aifanye Airbnb, 20mill parked, vile hizo nyumba midroclass hubembelezwa wakati wa house hunting.

Hapo sawa,hapa kaptagat road hakuna ujinga ya apartment s

Tombweni kabisa… Soon Subarus with loud trumpet exhausts will be a regular thing in Karen.

20M kuna projects safi sana in the outskirts of the city places kama Ruiru, Kitengela, Syokimau etc.

Angenunua huko a decent 5 bedroom maisonette + DSQ in a secure gated estate and private parking for 2-4 cars. Saa hii hangekuwa anafikiria kurudi ocha.

Lakini juu lazima aseme anaishi Kilimani, wacha akule ujeuri yake.

Mimi niliamua sitawahi buy nyumba yenye my aging parents cant spend a week if they have business in Nairobi. That’s why I think apartments are overrated and townhouses and maisonettes are ideal.

For a small sum of 20 million she should have invested that amount ushago or small towns ,huko angepata a sensible ROI ,kilimani Kama were Sio dollar millionaire utalia Sana

Always living in a theoretical world counting and advising people that have money how it is or ought to be done. If you were that good or knowledgeable or your advise held credence you would be amongst those folks.

Kila nyani na starehe yake.

I’m not complaining…THEY ARE.

Unanunua aje hao inafloat kwa hewa ati 20mill?? Kichwa bakuli huyo

Kuongelesha mtu kama huyu ni ngumu when she used to rent a 10k betsita pale sthB ndio afanye biashara zake Nai ama she goes back to mashinani, pesa ilipoingia msuuri the only thing she saw to get was a Harrier & a 20mill apartment, nilipoiona I just told her the same thing aligongwa na she would have been better off huko MaRuiri, Rongai etc na bado anakamuliwa service charge.

Kumbe wewe ni next door neighbour
Kuna place kaptagat, i think thego lane, one compound iko na hao moja which has been divided into four 3 bedroom apartments. They look nice but they were too crowded for my liking… rent was 150k…

Mtu hafai kuishi mahali moja more than 20 years. Population inakuwa, na vitu mingi zinabadilika. Ata musalia alihamia karen juzi akatoka kwenye ameishi io miaka yote, hatujui labda 20 years from today itambidi ahame tena.