Birrionares

Ile rate mabirrionares wanakufa niwekeni kwa maombi

tuma mbegu ya 1050 ni ku connect na Kanyari. maombi zako zitakuwa coverted in real time.

Sio kwa ubaya lakini Mabirrioneas never invested in their health.

Kweli kabsaa, typical bonobo behavior. Ukisha omoka ukahamia Runda ama Lavington unakula Nyama daily na ku kunywa whiskey daily kwa golf club. Tizi inafanywa tu saa zile ana Mwaga njoti. Juu ako na pesa, hakuli dem missionary, kazi ni ku raidiwa ama kunyonywa mboo. Sex itself hatumii calories zozote. Rodi haendi, ati anataka maisha soft. Anasema haezi kanyaga Eastlando ama Kibich ama tap, hajui that is how you build innate immunity. Ma birrionaires watazidi kukufa sana na hio tabia ya ku invest everywhere except their health.

U

:D:D letting your money work for you

Chokora hapa huitajiki,tafuta threads za peasants wa kulipa lanye 150shs ,humbwer Koko imesota na iko na okimwi

Working for you to your death banae:D:D:D

ni park X6 yangu kando ya njia ama ?

I had an uncle who was a senior manager in a bank. Aliomoka akaenda esto flani huko ndani ya karura forest na huko ukitumia kiambu road. Huyo mse hakuna tizi alikua ana fanya apart from kumanga auntie. Alifikisha retirement age ya 60years,akaongezewa two years ndio aweze kulimaliza mortgage. Ilipata kama hii nugu ya uncle ishaanza kukua na cataracts za macho juu ya diabetes na akitoa ndula hao inanuka kumbe mguu inaoza. All he had to do was to do brisk walk ya 20 minutes daily ndio a reverse hio maneno ya ku depend on drugs. Ali maliza mortgage, hao ya kama 24M,bonge la massionette, but amekufa last year just before covid ikue big deal. Complications za blood clot zili happen akifanyiwa amputation ya miguu.
Ukiomoka, raise standards za Familia, but make sure wewe na Familia mko physically fit, msipende maisha soft. Wacha maisha soft ikuwe option, sio priority.

x6 Ni make gani ya telephone?:D:D

Wealthy junguz r xtremely active

Sana sana.Descendants wa former colonialists ndio wanauzia Kenyans gym wear, wanawaletea sijui USN sijui nini,wana post videos za triathlon events wameshinda etcetc. They imprinted in the Africans mind that sign ya kuomoka ni kumea utambi kiasi. Ghassia.

Ati umeomoka, Sasa mtu anameesha utambi Kama gorilla. Idiocy

but kirubi 80 is long enough way past the life expectancy for men

True. Tushadiscuss hio mambo ya age ya kirubi ukisugua klit ya Kapoti.

Wewe na hio kutembea yako mingi mingi ukitoka kawangware ndio uende ukatembeze mbwa ya mdosi hapo Ngong road si utagongwa tu na nduthi imebeba pizza za debonaire na ufariki at the wee age of 43?

Worst case scenario, next year, ndio huyo Raila amekataa matokeo, ndio huyo wewe unatembeza German Shephard ya mzungu wa Lavington hapo Ngong rd kama kawaida, ati unafikiria GSU watakutambua as a fellow soja juu uko na mbwa mkononi… my fren! Na yeye Ruto amewaambia pigeni mwuue kabisa. Ndio hio fimbo ya GSU kwa shingo yako.

Zambarau ndio huyo jioni yake, “Guys I’m sorry to announce that njaruo Agwambo was walking his dog yesterday when the GSU pounced on his … his real names were Sospeterson Ojwang Josepherson Agwambo Onyango son of Odindo the late. May he rest in peace!”

And then what?

:D:D

This is the kind of retarded myopic rudimentary thinking that BBI imekataa.