Birrionaires patieni huyu peasant kazi!! Ameteseka sana

@Wakanyama kama kuna vacancy pale Butchery yako named “Jirani nimesullenda Butcheries” then patia huyu shining eyes mwezako kazi. Hata kama ni section ya mutura…hajakataa

OK jokes aside. This is no laughing matter. Huyu msee amejitahidi and am sure he will get a job from one of those birrionaires driving past him bcoz of his determination. Sio kukaa home fwa ati serikali saidia
[ATTACH=full]52279[/ATTACH]

11 Likes

bidii kwake

1 Like

Okay. You are a passenger in a Landrover or is it nissan? Ni sawa.

1 Like

Kuna mwingine huonwa Uhuru highway in a graduation gown hawking.

1 Like

Dude hii picha nmetumiwa whatsapp group

1 Like

I like this guy’s determination , sio kulala hovyo, assuming hakuna opportunities .

2 Likes

A most unusual job searching tactic… Hope he gets one.

Moving on kwani registration ya ndae za berlin zote zaanza na K @Jirani

4 Likes

Desperate times… na mwanaume ni effort

3 Likes

hii mwaka imekuwa ngumu. kuna bills za gover hazijalipwa tangu last quater ya last year so wasee hawana pesa many companies are laying off workers

5 Likes

these days kama huna puthy ya kupea birrionare utabaki kuuza mahindi na masters degree yako, angalia hivi hoes out here be earning lots of cash na diploma pole sana

5 Likes

is he the same guy carryin the placard coz if not, angechukua hio wax kama his first job…

1 Like

Very true. Knew things are bad when chasing my payments from one of my clients, a prominent civil construction company in Mombasa.

4 Likes

Kuna mwingine alido ivo SA some time this year, story ikafika international media mpaka akawai job na attention. Was more learned than that mungich.

1 Like

@Jirani we are also on social media. And most importantly hatuko Kibera ya Germany kama wewe hizi vitu tuliona na macho asubuhi.

MEFFI

2 Likes

[ATTACH=full]52282[/ATTACH]

4 Likes

We fly, meffi.
Edit:Kuna wengi hapa pia wako mayuu na hako kwa story za hapa online. Your comment therefore is useless.

3 Likes

Nani amekuuliza? Meffi ya mungich Wakanyama wewe…kwanza ile alipoop pale Karura forest ika kauka

kama unangojea payment kutoka kwa mtu ako in construction ama engineering consultancy jua tu uko pabaya. mi nimetafuta job sasa ni the 10th month na nko na networks na experience, wasee wanasema wako na kazi lakini hakuna pesa ya salaries. theres a silver lining though, gover imesema all pending bills zilipwe

3 Likes

Gava ifanye haraka bana. Hii kushuka from birrionaire to peasant pap can kill very quickly!

nakwambia ni kubaya, hio pesa imengojewa sanaa