Kwani @Bingwa_Scrotum ako na marasmus
Hio ni ile stare ya mtu amekula muguka kama ya 200 hivi
The guy is very alert
Wanakaa maiti kuanza hio boy alikuja akimwaga njoti
ame lose virginity.
Scared ngamia syndrome
Hizo macho za ngamia zinaona Hadi the future
Hio family kutakuwa na haja ya kuendea x-ray, CT scan ama ultrasound kwa hospital kweli? Msee akiumia ama mtoi awe conceived unalala kwa table wanakuangalia wanaona.mpaka pancreas.
The guy is roughly 120 sth kgs
Maskio ni dish za satellite
Yenyewe hayo masikio yanashika mpaka internet ya starlink! Only cabling from the nose to the tv is needed - nothing else.
Inbreeding is a terrible thing I tell you. Hii ndio matokeo ya kuzàa na kuoana na cousins… brothers etc
They’re probably cousins of cousin parents
cousins of cousin parents are not mehram. not allowed to interact like that, unless married to each other…
noma sana…