Nataka handles zijae kwa hii site yangu
http://wakenya.xyz/index.php
Weka synopsis nijue kama nitaclick
si upeleke hii upuss muranga
Usitaje taje muranga ovyo…we own most of the buildings in CBD
Hii crayons…
[ATTACH=full]82116[/ATTACH]
[ATTACH=full]82118[/ATTACH]
[ATTACH=full]82117[/ATTACH]
Nikki mani
My friend, site mpya na unaforce watu waregister ndio wa-access? You got jokes man.
hapo hadi phone number wacha ikae
Umetumia crayons kuandika hiyo logo…basi maliza kucolour KING in talking kwanza kabla uonge juu ya wase kuregister
[ATTACH=full]82120[/ATTACH]
…And kanyenyaini and githumu to o
The lower Nairobi belongs to them
Unaweka login & register kwa landing page.
Watu Wa Rwathia sisi ni mabillionere
watu wa @Murang’a walikuja nairobi kuuza ma-koti na kuchoma mahindi!
Uko na mchezo mungich,unataka ni register ndio nichungulie upus!
ungeanza na XXX kuattract watu vile ktalk ilianza. ungetusiwa lakini wasee wanaregister chini ya maji!
[ATTACH=full]82121[/ATTACH]
We Corinthian
umejifunza HTML, na PHP uanze kutusumbua?
we as in who:D:D:Dsi wewe at best i think all you own ni ka aramis
Leteni hizo review nijue vile naeza karabati
mbona inaitwa KDF? I think your target audience ni kina @bjurmann