nasikia kuna findeo ya mtu amekamuliwa Bilmas hotel, iko wapi?
Funga masikio kaka,we’re in a Holy week ,na wewe ni mambo ya ngono
Weka hii hekaya Friday after pope ameenda. At the moment we are very pious and devout.
holy kitu gani? leo hatutakula wali?
mimi sio mkatoliki, siamini huyo budaa hata. lakini sina chuki na yeye ama wafuasi wake
leta video kasee
nina video mia mbili kila mtu niweke hapa
Priss wacha papa franjisi aende kwanza
weka! why people acting so holy na sunday nyiuchafua kijiji bado
Ati mia mbili kwani Nikiwatch nitaingia kwa hiyo video pia mimi Nikamue…upus
hii ni wiki takatifu priss, tuliza dhambi mpaka nest week :(
Hehe
:rolleyes: Alafu!!
ni takatifu kwa wakatoliki, mimi sio mmoja wao, siamini huyo buda anaitwa pope kamwe. Lakini sina chuki na yeye au wafuasi wake
I have very good memories of Bilmas. I once met an ex kwa hiyo hotel. Buda,wacha nikushow risto. Tukakunywa soda nikadai vitu,nikaambiwa nikachukue room. Kufika hapo kwa kubook room,nikaona rangi ya thao. Kuinama kuchukua,ni thao. Nikarush kwa ex,kamshow nimepigiwa simu job na mikakitoa…anytime am in Nai,lasma nikunywe Fanta pale kwa balcony ya Bilmas…
Yaani unawacha coomer juu umeokota thao?
You calmly pick it and use it to pay for the room.
Most probably it was dropped by another fisi also booking a room.
sielewi hii post… unaokota thao dick inatulia, kwani ulikuwa ulipwe na ex soo mbili? I had to check that your handle is indeed blue not pink. ingekuwa pink nimgeamini
stale information