kuna cuzo anasaka bank statement ya 3.5 M usaidizi wote nahitikia
Emamba wewe ni ndugu ya engite?
Watu hupenda sana hii story ya fake it till you make it, am sorry but I think I’ll keep it real trying to get rich quickly or die while trying
Yaya, Eng’iti ne ng’iti, nabo ekoranderera emamba halafu enyeite ekwe eyemere yonsi.
Sijaelewa lakini hujakosea. Eng’iti ne ngite fiu
:D:D eee bono
obwate obomabi koru enyuma ime mpaka omonwa igoro.
JINGA
Yaa …:D:D
emamba ne enkong’u ekoroma eng’iti rimo rioka
Alafu washenzi mliamua kukojolea Uzi wangu bila kunipa usaidizi wowote
pliz help me find that document ndio Huyo cuzo atumie ku apply F1 visa
by any chance anatafta kusafiri kwa Drumpf?
Yeah drumpfland
Ah hapo sitawez kusaidia wewe buda.
mwambie asijione mjanja…hao watu ya Embassy hawacheki…beshte yangu alirejectiwa after kuulizwa if he has ever been out of Kenya… He said No…akaulizwa kama ata kwa M7 Hajawai kanyaga?
the bank statement owner he will be just like a sponsor what I know inaeza leta shida ni if iyo statement iko fake juu huwa wanafanya background check to verify
Anataka kupeleka pale AM kukopa kilorry?
Lakini wewe mkisii ni mchinka aje. Nyinyi ndio ma Guru kwa hii mcheso ya forging bana na unaulisa maswali gani sasa. Nongwe
embassy hakuna kutumia vitu za riverroad