Billion dollar team Chelsea inauwa nyoka

The guyz have spent billions in the Njanuary transfer window and decimated the notion that you cant buy a full squad in a january window.

hapo sasa wasito. @hakimoto @fisi fc .

@Finest wine niko nyuma yako

Westham 1------------ Chelsea 2 :D:D:D:D:D:D:D:D:D away game

It will be interesting if they finish 10th and win the CL, apo Timu Njega itarudi UEL next season kucheza na Amoniam Nicocia na Sheriff huko Azerbaijani :D:D:D

Hope ujaleta swara

Na Maccabi Haifa na CFR Cluj :D:D:D

mujue swara akiongea its fnal no appeals .:D:D:D:D:D

Chelshit wanakojolewa …

Easy goal

1-1

Hapo sawa Westham

:D:D:D:D:D

Var imekataa bao la WHU, ingekua 2-1.

Ghai…why did you speak???is Chelsea playing or drifting along? still waiting for my valentine’s gift.

Tumenyimwa handball

:D:D:D unajua uwes kweli? Aki support team jua the opposite will happen. We saw it coming. @uwesmake game yetu nyamazia tafasali. Pris pris.

Mahali mlikosea ni vile hamukusign VAR.