Walloped like nguruwe kwa msikiti by a relegated team. add to that their best right back decided to kiss another players boot and is out for the rest of the season .
ati ohhh Mudryk , oooooohhhhhhhhhhhh Joao Felix , ohhhhhh Enzo FERNACHIETH nonsense
:D:D:D mkuu wacha kuwaangusha. Hopes zao ziko kwa Luis Enrique lakini tunajua who is coming back mou. Next season mtaona mind games, halafu guardiola na mandevu wanajitoa. Wapi Ile mbica ya 10hug is cookin:D
Wacha nikwame na hug kumi na machokoraa wetu. At least Kuna gelling inaendelea ata kama ni machokosh banae. Kuna time nilikuwa nalilia conte akuje lakini nikafikiria kitu Moja. Conte ni fyatu, atapanga one of the most indiciplined team ever seen. Vile alienda Tottenham nilisema heri ivyo. Huyo ninja hupenda vichwa mbaya tu:D