BILA KUMUNG"UNYA MANENO, RUSSIA WATACHUKUA WORLDCUP 2018

Aagh wapi, utachana mkeka wako mkuu. Bado sana kupredict mshindi…

Natamani kuona mechi kati ya russia na iceland na ureno na hispania

Yote yanawezekana maana michuano ya safari hii bhana haina adabu

Uruguay hapana hawafiki huko

Russia hata kwa kununua haiwezekani. So far nimependa football ya Spain, tatizo lipo mmaliziaji wao Diego Costa tu, anahitaji ten chances to score one goal. Kama kocha akimpa nafasi Aspas, tutegemee kuona tofauti kubwa sana.

URENO

Mh

Ureno timu haieleweki wanapoteza mipira kizembe

Binafsi naona ina kila dalili za kuonyesha maajabu

Itakua poa zaidi,nipo upande wao

Ila jamani ukiondoa ushabiki,RUSSIA ni noma sana, wanajia kicheza mpira kwahiyo wanastaili ongera yao.

We waache wale jamaa wamekula kiapo kwa Majasusi wa Putin , Time will Tell.

Russia haina uwezo huo.

Watachukua Croatia

[COLOR=rgb(41, 105, 176)]utakua UNA OTA wewe!!
[COLOR=rgb(226, 80, 65)]embu amka toka usingizini

Nilipowaangalia Croatia wakati wanawafanyia kitu kibaya Nigeria nilihisi hawa watachukua kombe. Nilichokiona ni ile nidhamu ya mchezo na kucheza kitimu. Nilipowaona wakiwafanyia show ya kibabe Argentina sasa sina shaka mabingwa wa WC 2018 ni Croatia. Hii ni timu iliyo balanced idara zote. Na timu itakayowafunga Croatia ndio itakayokuwa mabingwa.

Nilipowaangalia Croatia wakati wanawafanyia kitu kibaya Nigeria nilihisi hawa watachukua kombe. Nilichokiona ni ile nidhamu ya mchezo na kucheza kitimu. Nilipowaona wakiwafanyia show ya kibabe Argentina sasa sina shaka mabingwa wa WC 2018 ni Croatia. Hii ni timu iliyo balanced idara zote. Na timu itakayowafunga

Ngoja tusubiri.

Ila mpira wao nimeukubali sana

Isijekuwa Nguvu ya soda

Ah wapi! Russia hawaendi mbali, kama umeona game ya leo na Uruguay wamepigwa goli 3-0, utagundua ni wepesi sana, waliwashinda vibonde tu Serbia na Egypt.