BILA DOE

The disrespect is too much

3 Likes

Amekuacha…
How to look at it badala ya kulia kwikwi..

“You are lucky now you can focus on yourself”.

But wewe ni a luhya man.. mapenzi ndio your backbone.. lia tu.

16 Likes

Vile inafaa.

Vumilia, or have money.

Palikuwa na mji mdogo uliokuwa na watu wachache ndani yake.

Mfalme mwenye nguvu akainuka dhidi yake, akauzingira kwa jeshi kubwa.

Lakini ndani yake alipatikana mtu mmoja maskini mwenye hekima, ambaye kwa hekima yake aliuokoa mji.

Hata hivyo, hakuna mtu aliyemkumbuka tena yule mtu maskini.

Kwa hiyo, nikasema, “Hekima ni bora kuliko nguvu.”

Lakini hekima ya yule maskini ilidharauliwa, wala maneno yake hayakusikilizwa.

5 Likes

It’s natural my man. That’s why a woman needs a man. Without it, their instinct tells them you are worthless.

6 Likes

Start using promises in place of money. That’s gonna fix the problem.

5 Likes

A man without money has to develop his other skills to compensate. So they tend to become very good at causing all sorts of sideshows to distract everyone from the fact that they simply don’t make enough money.

3 Likes

… nimeona ukasonga kwa hio comment

2 Likes

Wewe ulikuja Nairobi kutafuta fame sio pesa.Utalala na mbuzi next xmas ukienda ushago na hizo followers kwa mfuko.Bigwig my black ass!!

4 Likes

Bila pesa naonyeshwa madharau.

1 Like

pole… panguza achungu na hii :green_emoji:

1 Like

Pigia Mercy Masai akutumie kitu

5 Likes

Shemale bottom mbona unauza bila kulipwa

Hehe @cortedivoire hajakirushia 150 ya krismass jina kubwo?

2 Likes

Hakuna kitu kibaya kama fame bila kakitu.

3 Likes

Its killing me

1 Like

Ambia mafollowers kila mmoja atume 1k ndio ukashoot video kali.

Doh ikiingia, funga social media accounts.

2 Likes

Fame means nothing if you have no money to back it up. That’s how you end up in gay porn.

2 Likes

Ati what

1 Like

Who lied to you uko famous​:rofl::rofl:

Biggest brand in East Africa

1 Like