Bibi

This guy runs a very big malimali shop that making him big-time cash … He is so held up in the malimali shop n rarely leaves the shop, most time amevalia gumboots with an old aprone , amenunulia bibi. Harrier Kisha bibi akafungua a small bar in town …ni this type of slaymamas u rarely see her help in the shop na ukimuona amekujia pesa …
My question is bibi anafaa ku operate bar ?

Maisha ni yake, we shugulika na za kwako

1 Like

:D:D:D bila mbisha ya malimali, Masha hizi ni zile riba za jaba.

Ungeweka hata picha ya side mirror ya Harrier.

anajijua wachana na yeye kam ahafeel wewe ni nani may be he is okay

Yes, Bibi inafaa a operate bar kama to alianza hiyo bar na pesa yake. kama alianziwa na bwana is a Nooo. We know Alcohol and Prostitution are sisters