Wadau, wengine wenyu mmeweka ma-elephant kwa hao. Dem amejaza mafuta amefika 310 Kgs. Push ups tano hawezi piga. Somersault hawezi thubutu. Sit ups ata tusiongee. Yaani dem ako obese. Na ujue obesity hukuja na a lot of health complications.
Luckily, kuna strategies wife anaweza tumia apunguze mafuta within 90 Days. Wachana na story za exercise, jogging, cardio na hizo upuzi zingine. Nasema curated strategies to shed those extra kilos in just 90 Days, angalau akue petite kiasi.